Post Code : P.O BOX 3000 - 80100 MOMBASA
March 2025
1:45 minute
Exam code: 019009
(a) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
(b) Kisha
chagua insha nyingine kutoka tatu zilizobakia.
(c) Kila insha isipungue maneno 400.
(d) Kila insha ina alama 20.
(e) Watahiniwa lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo
1 | 2 | 3 | 4 | Total |
---|---|---|---|---|
Andika insha mbili. Insha ya kwanza na ya lazima
Wewe ni afisa wa Tume ya kukabiliana na ufisadi nchini. Umealikwa kuwahutubia wana funzi kuhusu athari za wizi wa mitihani kwa kizazi kijacho. Andika hotuba yako.
Fafanua hatua ambazo zinaweza kuchukuliwa nchini kukabiliana na umaskini .
Andika kisa kitachodhihirisha maana ya methali.
Ulimi huuma kuliko meno
Kamilisha tukio kwa maneno yafuatayo:
“….waliwasili saa tatu baadaye. Uharibifu wa mali na maisha ulikuwa umeshatendeka wala kufika kwao hakukusaidia kwa lolote.”