Post Code : P.O BOX 3000 - 80100 MOMBASA
July 2024
1:45 minute
Exam code: 192230
(a) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima.
(b) Kisha
chagua insha nyingine kutoka tatu zilizobakia.
(c) Kila insha isipungue maneno 400.
(d) Kila insha ina alama 20.
(e) Watahiniwa lazima waangalie kama kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo
1 | 2 | 3 | 4 | Total |
---|---|---|---|---|
Andika insha mbili. Insha ya kwanza na ya lazima
Wewe ni mhariri wa gazeti la Msemakweli. Andika tahariri kuhusu athari za baa la njaa na hatua zinazochukuliwa na serikali katika kukabiliana na tatizo hili. (alama 20)
Matumizi ya afyuni katika taasisi za masomo nchini ni suala muhali kutatuliwa. Jadili. (alama 20)
Andika kisa kinachothibitisha ukweli wa methali: Mtaka yote hukosa yote. (alama 20)
Tunga kisa kinachoanza kwa maneno haya: (alama 20)
Ilinichukua muda mrefu kusadiki niliyoyapata ...