All Questions

Name                                                                                                                     (2mks)

(a) A cell in the human body that lacks mitochondria

…………………………………………………………………………………………

(b) A Kingdom whose members lack mitochondria

…………………………………………………………………………………………

The experimental set up shown below was placed in the sunshine for 2 hours to study a particular phenomenon in plants

(a) What is the expected result after the 2 hours of experiment?                        (1mk)

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………....

(b) Account for the answer given in (a) above                                                      (2mks)

……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………....

(c) What is the expected result if the experiment was done under high humidity?         (1mk)

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………....

 

State the functions of the following cells                                                                   (3mks)

i) Sertoli cells

………………………………………………………………………………………....

ii) Interstitial cells

………………………………………………………………………………………....

iii) Guard cells

………………………………………………………………………………………....

An athlete experienced a muscle cramp after a sprint race

(a) Name the acid that accumulated in her muscles to bring about the discomfort       (1mk)

………………………………………………………………………………………....

(b) Describe the fate of this acid when the athlete takes a rest                            (2mks)

…………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………....

The photomicrograph shown below is a section of a cell

(a) Using the letters provided, label the organelle that:                                (2mks)

 i) Is found in high number in kidney cells   (KC)

 

 

 ii) Is abundant in secretory glands         (SG) 

 

     

(b) State the importance of cytoplasmic streaming to a cell                                            (1mk

…………………………………………………………………………………………………….........................................................................................................................................................................................................................................

RIWAYA YA NGUU ZA JADI NA PROFESA CLARA MOMANYI

"Samahani... Nina shida kidogo. Ninaomba usaidizi. Sikuwa nikilipa ushuru katika biashara zangu. Sasa wanataka kuzifunga na kunipeleka kotini."

a) Eleza muktadha wa dondoo     (alama 4)

b) Bainisha toni katika dondoo hili      (alama 2)

c) Msemaji wa maneno haya na wengine ni adui ya wananchi wa Matuo. Eleza ukweli wa kauli hili.   (alama 14)

TAMTHILIA YA BEMBEA YA MAISHA NA TIMOTHY AREGE

(a) "...haikuwa mara moja mnavyofikiria. Ilianza pale chuoni. Wenzangu walinipa mvinyo kunirai kuonja ulevi."

i) Eleza maudhui manne yanayojidokeza katika dondoo hili.   (alama 4)

ii) Eleza athari za mhusika anayerejelewa kujitosa katika suala linalooredheshwa kwenye dondoo.  (alama 6)

iv) Kwa kurejelewa mifano tano katika tamthilia ya Bembea ya maisha, eleza tofauti iliopo katika maisha ya ndoa ya zamani na sasa (alama 10)

                                                            AU

(b) Jadili sababu kumi zilizompeleka mwandishi T. Arege kuandika Tamthilia hii. (alama 20)

Hadithi fupi

Mapambazuko ya machweo na Hadithi nyingine

(a) Eleza nafasi ya vijana na wazee katika hadithi ya Mapambazuko ya machweo. (alama 20)

                                     AU

(b)  'Sasa ni saa ngapi? Si wajua mtoto angali anakusubiri? Mtoto analala!"

i) Eleza muktadha wa dondoo               (alama 4)

ii) Bainisha mtindo katika dondoo hili   (alama 3)

iii) Eleza umuhimu wa msemaji katika kuendeleza maudhui katika hadithi ya Harubu ya maisha. (alama 10)

iv) Kwa hoja tatu, eleza umuhimu wa msimulizi katika kuendeleza hadithi ya mzimu

wa kipwerere      (alama 3)

SEHEMU YA   A;

SWALI LA LAZIMA-FASIHI SIMULIZI

(a) Fafanua maana ya lakabu          (alama 2)

(b) Sifa za lakabu ni zipi                (alama 5)  

(c) Kwa nini lakabu ni muhimu katika jamii?      (alama 3)  

(d) Jadili manufaa ya utafiti katika fasihi simulizi.    (alama 10)  

ISIMU JAMII          (ALAMA 10)

a) Taja mambo matatu yanayopelekea kufa kwa lugha (alama 3)

 

 

 

 

 

 

b) Isimujamii ina umuhimu gani kwa wanafunzi wa Shule ya Upili ?  (alama 4)

 

 

 

 

 

 

 

 

c) Andika sifa tatu utakayotumia kuwatangazia watu kuhusu kinyang’anyiro cha soka. (alama 3)